Kumbe Mama mkwe!!

Kama na wewe ulikuwa umewekewa mikono usoni na masikio yako yamezibwa, basi inawezekana!!


Babu DC!!
 


una bahati kidogo
 
...umegundua eeeh!!, wakati mwingine asirudie kudanganya wakubwa..
 

Mtunzi mzuri wewe
 
Afadhali wewe mkuu
 
Sipati picha angegusa ikulu ya mama mkwe wake . Lol!!!. 😛hoto:
 
so asingetokea mkeo ungefanya mengine zaidi ya hayo..................
 
Kuna mahali umejichanganya kujustify..........na nguo alikua amevaa za mke wangu.............."son in law" afu mama katoka Bwax?? hii inawezekana lakini mjomba ahsante nlikua sijacheka mie leo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…