mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Huyu ni pacha wa manara ,wasaliti waliokimbia Simba kwa kuhongwa bahasha za kaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa huwezi kuwaelewa,very opportunistic.Moyo wake upo Msimbazi kule kafata kazi tu.
Utopolo hawajui hiloMoyo wake upo Msimbazi kule kafata kazi tu.
Kavae jezi yako ya uto halafu kakae kwenye jukwaa wanalokaa mashabiki wa simba uone utafanywa nini?Kumbe kuvaa jezi ya kolo ndio unakuwa kolo?
Hasa huko kwenye alizetiNatabiri mzee wa kuoa na wakeze kulala mbele utopoloni baada ya vijana wa kizazi kipya kuvamia kambi
Namwona akianza kuwachafua tena kwa kuwaita jina la zamani utopo
Namwona akitimkia kwenye alizeti au kwenye juice. Hapo hana hata miezi 6 ya kusalia utopoloni
Panya Road....??? Kuna panya road zaidi ya yule panya road kutoka Zambia mliomtambulisha jana...?Nchi hii hakuna watu wanaopata tabu kama Panya Road na mashabiki wa MAKOLO!!
Yaani hawa nadhani ni dada mtu na mdogo mtu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Boss Mo naye ni MwanaYanga ila yuko Simba!Huyu ni pacha wa manara ,wasaliti waliokimbia Simba kwa kuhongwa bahasha za kakiView attachment 2370054View attachment 2370055