Kumbe Marathoni chanzo chake ni Maria thoni? Aise nilikuwa sijui

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Source ya marathoni ni pale bikra maria alipokimbia na kukimbi na mwanae yesu baada ya kuwa pilato anatafuta kuwachinja watoto wote wa kiume.

Tuwape wakatoliki maua yao. Hata valentine chanzo ni Mtakatifu Valentine.
 
Kumbe haya mambo yote bado ya mabeberu tu, tuanzishe yakwetu sasa ikiwemo zile ngoma zilizokuwa zinatupa wachumba.
 
Source ya marathoni ni pale bikra maria alipokimbia na kukimbi na mwanae yesu baada ya kuwa pilato anatafuta kuwachinja watoto wote wa kiume.

Tuwape wakatoliki maua yao. Hata valentine chanzo ni Mtakatifu Valentine.
We mkimbiz rudi kwenu Burundi
Muhutu weyee
 
Back
Top Bottom