Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito.

Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia Middle na haina muda mrefu.

Kwa Majibu ya huyu Bwana Tito sasa ni rasmi kuwa kumbe Wazungu ( hasa ile Kauli ) aliyotuambia Waafrika aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump Waafrika wengi Wanafiki wakaichukia na Kumchukia huenda alikuwa sahihi 99.99999%.

Watu wa Serikali ( hasa System ) endeleeni tu Kuwapandikiza hawa Wajinga ili waje na hizi sababu za Kipumbavu mkijidanganya kuwa Watanzania wote hawana ( hatuna ) Akili ila kaeni mkijua haya yana mwisho na Wamachinga kamwe hawatokubali kufanywa Mbuzi wa Kafara kila mara ndani ya Ardhi ( Nchi ) yao.

GENTAMYCINE najaribu kutafuta 'Connection' ya Mateja Kuvuta Mihadarati yao Vizimbani Masokoni ( hasa pale Karume ) kisha Moto kuwaka 'Kimkakati' kwa haraka Kuzunguka Soko zima.

au huenda Mateja walikuwa Wamejipanga katika Vizimba vyote vya Soko la la Karume na kwamba kila aliyekuwa akiwasha Bangi na Kuivuta alikuwa akishalanduka ( akilewa ) tu anamtupia Mwenzake wa Kizimba cha Pili na kulala ( Kusinzia ) hivyo Yule wa mwisho alivyopasiwa Kipisi cha Bangi akakivuta na kilivyokuwa Kitamu akakitupa na Kulala mpaka kuanza Kuunguza Mali za Soko la Karume.

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
 
Dunia inakwenda kasi sana na teknolojia.. Kuna mambo ukiwa unafanya acha shobo na mambo ya makamera.. Au camouflage iwe nzuri Sio unatokelezea vile vile daily Kwa matukio tofauti na story tofauti.

Ooh msingi wa yote ni critical thinkers. Asante ndugu mjumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lolote linaweza kutokea hapa nchini bila kuzuiwa kabisa. Kama mambo haya yanatokea tutegemee na makubwa zaidi kutokea hapo siku za usoni.
 
Kuamini hivyo ni sawa na kuzitupa akili zako jangwani
 
Lolote linaweza kutokea hapa nchini bila kuzuiwa kabisa. Kama mambo haya yanatokea tutegemee na makubwa zaidi kutokea hapo siku za usoni.

Is it a coincidence kuwa MIOTO yote inayotokea kuchoma masoko inakuwa wakati wa usiku wakati watu hawapo? Kwanini hamtaki kukubali kuwa MIOTO hii ni ujumbe mahususi kwa watawala? Just thinking aloud!!!
 
Back
Top Bottom