Kumbe mastaa kibao bongo watoto wa mama.

kwani kulelewa na mama ndio kuwa na tabia mbaya?? shame on u! do u think they wished kulelewa bila both parents! ngoja mkeo aondoke au afe, then uje usikie mtu anamkashifu mtoto wako kwa kulelewa na wewe peke yako............... afta that njoo u-argue hapa! mmmmhhhhhh!
 
Wengi waliolelewa na mama asilimia kubwa huwa na mafanikio duniani, haijalishi tabia zao. Ushahidi upo mwingi tu. Hutaki unaacha. That's the truth
 
mtu kumataja taja mama/baba ni saikolojia effect ilyomkumba kutokana na kulelewa na mzazi mmoja huyo wa kik/kiume. hii nimeishuhudia kwa marafiki zangu, na toka hapo nikiongea na mtu akimtaja mama/baba zaidi ya mara moja huwa naelewa moja kwa moja huyu amelelewa kwenye single parent family ya huyo mzazi mmoja anayemtajataja. hii huwezi kuwazuia wasimtaje huyo mzazi wala kuwafundisha wasimtaje, ndio huwa hivyo from the saikolojia effets iliyowakumba wakiwa wanakua.
 
ni watoto wa mama ndio asa ulitaka wawe wa baba wakti wamewatelekeza?na ulitaka wamtaje baba wakati ajalea na hawajui ubaba wake.kwanza wewe utakuwa baba sururali na ndo wakwanza kutelekeza famili wewe halafu jf unajifanya maneno kibaoo.pambafuuuuu
 
Basi dada punguza hasira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…