Kumbe Mbowe alitaka kuondoka Chadema Kitambo enzi za Shujaa Magufuli ila wanachama wakamkatalia. Basi na YEYE tusimlaumu sasa Kwa kukataa Kustaafu!

Kumbe Mbowe alitaka kuondoka Chadema Kitambo enzi za Shujaa Magufuli ila wanachama wakamkatalia. Basi na YEYE tusimlaumu sasa Kwa kukataa Kustaafu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwiba hutokea ulipoingilia

Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?

Chadema acheni ujinga na UPIMBI 🐼
 
Mwiba hutokea ulipoingilia

Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?

Chadema acheni ujinga na UPIMBI 🐼
Mida yako ya kuropoka imeshafika pombe za mchana haijawahi kumuacha mtu salama,yaani kabisa umemuamini huyo makonyagi.
 
Mwiba hutokea ulipoingilia

Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?

Chadema acheni ujinga na UPIMBI 🐼
alwayas pety pety posts
 
Comrade Lissu yuko pale kama mwenyekiti mpya, makofi tafadhali
 
Mbowe dishi limeyumba anawaaza madaraka tu, hana jipya
 
Mbowe alitaka kuachia ngazi baada ya Jiwe kuminya biashara zake za ndani kila sehemu, hawa hawa jamaa wakamuomba asindoke...

Nukuu "Oohh mwenyekiti usiondoke muda huu nado tunakuhitaji..."

Binadamu ni watu wa ajabu sana.
 
Mama hawapigi spana za kichwa kama za Magu ndio maana kila mmoja sasa kaona ni mteremko kuongoza.

Kipindi cha Magu walikimbia wote ughaibuni wakamwacha Mwamba anapigika 😀😄
 
Jinga Ongo lile unamwamini mbowe? Mtu aliyefakamia konyagi hadi akapata ajali akasingizia kavamiwa ni wa kumwamini?
 
Mwiba hutokea ulipoingilia

Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?

Chadema acheni ujinga na UPIMBI 🐼
Chama ni cha wanachama aaichie madaraka,wanachama gani hao wali mg’ang’ania asiondoke?amefanya chama ni taasisi yake…anaenda kuiua chadema.
 
Mwiba hutokea ulipoingilia

Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?

Chadema acheni ujinga na UPIMBI 🐼

Janja ya nyani hiyo ...
 
Back
Top Bottom