Vyama vya siasa ni kazi kama kazi zingine, ulaji ukipungua tu hupiga kelele, kwa kuwatunia wajinga waliojazwa upumbavu kuandamana, Mambo yakikaa sawa tu, wajinga huachwa pembeni na ujinga wao na werevu kuendelea kula wine na bata.
-Wajinga ndio operative drives za wanasiasa!