Kumbe members wengi wa jf ni walimu!

CHEKEA

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Naona tumetawala karibia ktk majukwaa yote.Ila walimu wapya wa ILALA,nawataarifu kuwa hapa huwa hatupewi vitambulisho vya kazi.Nilipoanza kaz nikawauliza walimu wakongwe,wakasema hata wao hawajui.
 
Miaka inaenda miaka inarudi,wanasema mziki wa Tanzania utaendelea kuwa palepale
 
Kwani katika jamii ya Tanzania nzima katika profession yenye watu wengi zaidi ni ipi ? Ingawa statistically huenda member wengi wakawa waalimu ; ingawa wengi zaidi sidhani kama ni waalimu
 
MMESHANICHANGANYA.
TUNAJADILI TOPIC GANI HAPA??

"walimu wengi ni members wa jf"
au
"vitambulisho walimu wa ilala."
 
Kwa hiyo tufanyaje sasa?
 
Kwahiyo malengo yako ni yapi hapa usaidiwe?
 
kama wewe ni mwalimu wa ilala what next....or una point gani hapa?
 
Na wewe ni mwalimu?
BRN haitafikia lengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…