Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Kumbe mende ana maziwa bora kuliko ya Ngombe mazuri kwa watoto
Hivi unajua maziwa ya mende yana lishe bora mara 4 zaidi ya maziwa ya ngombe ni chakula kizuri kwa watoto.
Watu wengi wanapomuona mende huwa wanamchukia sana tena wakimuona kwenye chakula kutokana mazingira anayoishi wanakitupa chakula lakini Wanasayansi wanasema mdudu huyu ukitmkuta kwenye chakula au kinywaji chako usimtupe ana siri kubwa sana anaweza kutumika kwenye chakula.
Mende anatoa maziwa ambayo tunaita cockroach milk, pia hujulikana kama natal fluid hutoa maziwabaada ya kuzaa. Na yanaweza kutumiwa zaidi kwa wale watu wasiokunywa maziwa. Watafiti kutoka Taasisi ya Biolojia ya sterm Cell na Tiba ya kuzaliwa (Regenerative Medicine) toka India.
Waligundua kuwa maziwa wanayotoa Mende kupitia kuwalisha vitoto vyao yanaweza kuwafaa binadamu. Kupitia jarida la Journal of the international union of Crystallgraphy walifichua kuwa wana sayansi wakisema maziwa ya mende toka pasifiki au Diploptera punctata, yana faida nyingi za lishe.
Sanchari Banerjee, mmoja wa watafiti wa kimsingi, alielezea kuwa mende ni chakula kamili, chenye protini, mafuta na sukari utafiti huo uliweza kubainisha zaidi kwa kusema maziwa ya mende yana ubora mara nne ya maziwa ya ngombe.
Kwaiyo wanasayansi wanawataka watu wapende kuwachukua mende na kuwasaga kisha kuwala na kunywa.
Unasemaje mdau unakubaliana na wana sayansi?