Elections 2010 Kumbe methali ni matusi!!!!!!!

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
78
Nimejiuliza leo ni miaka mingapi imepita tangu enzi hizo tunafundishwa semi mbalimbali za kiswahili, mojawapo ikiwa ni methali mbalimbali mojawapo ikiwa hii "asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu", swali langu methali kama zimekuwa matusi je zimeondolewa/hazifundishwi tena siku hizi katika lugha ya kiswahili kwa kuwa ni matusi??
 
nimekua na swali hilo pia,nahisi ni tusi pale zinapo mhusu mkuu wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…