Bila shaka hesabu ni ya uongoKampuni ya METL inachangia 3.5% ya pato lote la Taifa Tanzania huku ikiajiri 1.95% ya watu wote walioajiriwa rasmi kwenye sekta binafsi.
METL ilianzishwa na Gulam Dewji mwaka 1970 huku kwa miaka 16 thamani yake ikikua kwa zaidi ya mara 50 mafanikio ambayo sehemu kubwa yalikuwa chani ya mtoto wake, Mohammed Dewji ambae kwasasa ndie mwanahisa mkubwa zaidi kwenye kampuni hiyo.
METL inaendesha shughuli zake kwenye nchi nane na kuajiri watu 28,000
Mkuu, umeshasema kuwa Kuna "MASIKINI" kwishaaaa. Mjadala umeisha.Mbona kuna masikini humu jf huwa wanasema hizo ni data za kubumba na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa MO ni tapeli na mganga njaa mpenda sifa?
Tumia kichwa kufikiria sio watanzania wote 60M wako kwenye sector ya ajira.Bila shaka hesabu ni ya uongo
Kama watu walioajiriwa ni 28,000 (kumbuka ni nchi 8 mimi nafanya assumption ni Tanzania tu
Idadi ya watu Tanzania ipo 60,000,000 (na assume walioajiriwa ni 20M tu waliobaki wote ni watoto )
(28,000 ÷ 20,000,000) × 100
.= 0.0014 × 100
= 0.14%
Bila shaka hesabu ni ya uongo
Kama watu walioajiriwa ni 28,000 (kumbuka ni nchi 8 mimi nafanya assumption ni Tanzania tu
Idadi ya watu Tanzania ipo 60,000,000 (na assume walioajiriwa ni 20M tu waliobaki wote ni watoto )
(28,000 ÷ 20,000,000) × 100
.= 0.0014 × 100
= 0.14%