Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo.

Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa zilikuwa sawa sawa na baada ya Mganga wa Kienyeji kutoka Morogoro na Kigoma kuwaambia Mtafungwa mkaamua muende katika mfumo wa Taa ili zipungue Kasi yake na Referee aone Mwanga hafifu ahairishe Mechi na Mroge upya.

Na kwa Umeme (Taa) kuwa hafifu vile tegemeeni Adhabu Kali kutoka CAF na hata Uwanja wenu Kufungiwa kabisa.

GENTAMYCINE nikiwasema na nikiwaambia Hamna Akili mnanikasirikia.

Hovyoooooooo.........!!!!!!
 
Nimeona mahala wanasema hata game kati ya Morroco vs Brazil nayo taa zilikuwa na mwanga hafifu kwa dakika kadhaa...

Ndio najiuliza hapa sijui Morocco nao waliambiwa nini na mganga wao?!

Siku zote ukiwa mjinga baki na ujinga wako peke yako, usitulazimishe na wengine tuwe wajinga kama wewe.
 
Jamaaa unawazaga ushirikina Tu.
Ukiandika Nyuzi 2 kuhusu Mpira Moja lazima inahusiana na Ushirikina.
Ndio maana huwezagi andika Nyuzi za soka la Ulaya coz unawaza Ulozi tu.
Hakuna Mtanzania ambaye hajawahi kufanya Ushirikina au hafanyi Ushirikina au hapitii Ushirikina.

Idiot.
 
Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda ( The Cranes ) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe ( kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa ) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo.

Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa zilikuwa sawa sawa na baada ya Mganga wa Kienyeji kutoka Morogoro na Kigoma kuwaambia Mtafungwa mkaamua muende katika mfumo wa Taa ili zipungue Kasi yake na Referee aone Mwanga hafifu ahairishe Mechi na Mroge upya.

Na kwa Umeme ( Taa ) kuwa hafifu vile tegemeeni Adhabu Kali kutoka CAF na hata Uwanja wenu Kufungiwa kabisa.

GENTAMYCINE nikiwasema na nikiwaambia Hamna Akili mnanikasirikia.

Hovyoooooooo.........!!!!!!
Huna Akili
 
Nimeona mahala wanasema hata game kati ya Morroco vs Brazil nayo taa zilikuwa na mwanga hafifu kwa dakika kadhaa...

Ndio najiuliza hapa sijui Morocco nao waliambiwa nini na mganga wao?!

Siku zote ukiwa mjinga baki na ujinga wako peke yako, usitulazimishe na wengine tuwe wajinga kama wewe.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Mnanichukia na hamnikubali lakini bado tu 24/7 ( Kila Siku ) lazima mnisome na mnifuatilie hapa JamiiForums.

Idiots wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom