Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!

Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!

Lyampinga

Senior Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
145
Reaction score
61
Ndugu yetu amekuwa akisema yeye ni mmoja wa wamiliki wa zile sehemu za kupigia picha na mpaka gari lake lina "poster za photo point" inasemekana yeye wala hausiki kabisa na photopoint, yeye ni kama deiwaka vile. Kama yumo humu atueleze basi
 
Akueleze wewe na nani?
Sasa yeye akiwa deiwaka au mmiliki inakuhusu nini?
Alishawahi kukwambia ni ya kwake?
Huu ndio upashkuna, acha kujadili vitu vya watu, jifunze utu kidogo....
 
Ni yake au si yake haituhusu kitu. Na sitegemei kama atakuja hapa kueleza mambo haya maana hayana mshiko.
 
Akueleze wewe na nani?
Sasa yeye akiwa deiwaka au mmiliki inakuhusu nini?
Alishawahi kukwambia ni ya kwake?
Huu ndio upashkuna, acha kujadili vitu vya watu, jifunze utu kidogo....

Nilishasikia mahojiano yake na mwanakiJIji, i think alisema yeye ni mmoja wa wamiliki.
 
Tafadhali usimuite Mhe Balozi wa Zain deiwaka. Alihusika kwa kiasi kikubwa katika uanzishwaji wa Photo Point. Amiliki au asimiliki hio siyo issue hapa JF. Nadhani unataka kuleta umbea wa kumtafuta mmiliki halisi wa photo point ili iweje. Maadam ulimsikia Michuzi akisema yeye ni mmiliki, naomba amini hivyo hivyo, waliokuambia yeye ni dei waka ni wanga.
 
Kinachoitajika hapa ni ukweli tu kama yeye ni mmiliki au sio na huu si umbeya wala nini, kwanini watanzania hampendi ukweli? kithibitisho kipo ambacho anasema yeye ni mmiliki, karatasi za BRELLA zinasema tofauti na radio mbao zinasema sawa na BRELLA.
 
Ndugu yetu amekuwa akisema yeye ni mmoja wa wamiliki wa zile sehemu za kupigia picha na mpaka gari lake lina "poster za photo point" inasemekana yeye wala hausiki kabisa na photopoint, yeye ni kama deiwaka vile. Kama yumo humu atueleze basi

Kwahiyo?

Sasa ajieleze ili iweje?
 
Wazee hizi thread nyingine zisizo na misingi angalieni utaratibu wa kuzichuja kabla hazijaingia hapa uwanjani wengine tuna roho za korosho humu.Ikiwa yake ama si yake hatujawahi kusikia michuzi kamuibia mtu thumb's up kaka michu.
 
Thanks Kuhani kuniokoa kwenye lugha.
Brela haina issue, kwa vile hatuna vitambulisho vya kitaifa wala hatutumii physical address, makampuni kibao yamesajiliwa na fictitious names na fictitious address mfano Kagoda, hivyo jina la Michuzi liwemo kwenye wamiliki au lisiwemo, ni mmoja wa wamiliki hata kama anamiliki gari tuu ya photo point inatosha kuwa mmiliki, achilia kamera za mamilioni anazomiliki yeye Michuzi mwenyewe au labda za zile ofisi zake zingine, lakini hiyo photo point inakula tenda kubwa kubwa za picha kwa jina la Michuzi. Sio lazima awe amewekeza pesa za mtaji, ile goodwill ya jina la Michuzi pekee, ni mtaji tosha kuifikisha photo point hapa ilipo sasa, jee unataka umiliki gani zaidi ya huu?.
 
Kuhani imekuwaje tena na huyu Pasco ulikuwa uikamue ile thread ya kimbeambea mbona umemkamua Pasco anyway Pasco maneno yako ni ya msingi sana kuwa kati ya wamiliki sio lazima wote mtoe pesa fame inatosha kukupa share katika biashara kama masuperstars wanavyofaidika na usuperstars wao.
 
Kinachoitajika hapa ni ukweli tu kama yeye ni mmiliki au sio na huu si umbeya wala nini, kwanini watanzania hampendi ukweli? kithibitisho kipo ambacho anasema yeye ni mmiliki, karatasi za BRELLA zinasema tofauti na radio mbao zinasema sawa na BRELLA.

SIMPLE MINDS.

wewe uliyeziona karatasi za BRELA tuambie nani mmiliki japokuwa haitatusaidia.

nakushangaa kila mtu yuko against na posting yako bado unang'ang'ania tuuuuuu. SHAME
 
jamani kweli hizi thread zingine sio issue, yake si yake kweli haituhusu.. mi nakumbuka photopoint ilipoanzishwa na mara ya kwanza walishiriki kwenye maonyesho ya sabasaba michuzi ndo alikuwepo kuwapiga watu picha hapo uwanja wa sabasaba.. kwa maneno mengine ameshiriki kiasi kikubwa kuifikisha hapo ilipo hata kama si yake... sifa zake apewe na sio majungu!
 
Ndugu yetu amekuwa akisema yeye ni mmoja wa wamiliki wa zile sehemu za kupigia picha na mpaka gari lake lina "poster za photo point" inasemekana yeye wala hausiki kabisa na photopoint, yeye ni kama deiwaka vile. Kama yumo humu atueleze basi

YE has no status.
Member

Join Date: Mon Nov 2008
Posts: 34
Rep Power: 0
YE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud ofYE has much to be proud of
Thanks: 18
Thanked 3 Times in 2 Posts
Credits: 795
Default Re: Kumbe Michuzi Photopoint sio ya kwake!!!
Akueleze wewe na nani?
Sasa yeye akiwa deiwaka au mmiliki inakuhusu nini?
Alishawahi kukwambia ni ya kwake?
Huu ndio upashkuna, acha kujadili vitu vya watu, jifunze utu kidogo....
__________________
I am just like a dog, i don't speak but i understand!

MMH HUYU JAMAA INAONEKANA ANA WADAU HUMU ASIGUSWE ?????????????

LOH!!!!!!!!!MPENI JAWABU AMEILIZA TU!!SASA MTANZANIA UNAULIZWA NA WEWE UNAULIZA NANI KAKWAMBIA !!UJAMSAIDIA BADO KAMA UJUI NYAMAZA OMBA HEKIMA KABLA YA KUPARAMIA KUJIBU JAMVINI
Reply With Quote
 
...ni mali ya cornel apson mwangonda

na ile plot 87 kipawa iliyotajwa kaama registered office ya kagoda...na faili kupotezwa kwa maagizo ya rais......sasa hivi ile plot ndio makao makuu ya CASPIAN CONSTRUCTIONS......[
jibu]
 
Nimegundua humu wapenzi wa Michuzi ni wengi, watu hawataki kusikia mabaya ya kipenzi chao.
 
- Brother Issa Michuzi for president! Lyampinga ingia mjini taratibu mkuu! Siku hizi kuna shares kwenye umiliki kwa hiyo unaweza kuwa mmiliki usiwe mmiliki pia, lakini mmiliki anyways!

- Ni kweli tupo wapenzi wengi wa Michuzi maana angalau hatumii jina la bandia, sasa tutakwua wapenzi wako vipi huku hatukujui mkuu!

Have a nice day bro!
 
Nakuakikishia jamaa sio mmiliki na pia niko JF sikunyingi mkulu nimeamua kurudi upya... Kama malumbano yataendela basi inabidi tulete vithibitisho, when it comes to shares hana hata moja
 
Unataka kufahamu umiliki wake wa Photpoint ili iweje???? Kwani wewe una kampuni gani??? Discuss great issues for the jamii ana not individuals!!!! Great minds..............Naona una lako jambo na Michuzi so mtafute muyamalize!!!!! Yaani mambo ya saloon,, vijiweni na upashukuna wa wakao barazani unataka kuuleta hapa kwenye jamii Forum ili tupoteze muda kuujadili???? Kwanza unatakiwa umwombe Michuzi msamaha.
 
Wewe soma kichwa cha thread na pia angali huko kwenye forum gani, kama unataka mambo ya kuendeleza jamii yako nenda kwenye jukwaa la siasa...
 
Back
Top Bottom