Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

Kumbe mimba ya..... kapigwa na Roma Mkatoliki!?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?

lotusjf.jpgromaa.jpg33e71b6cecL.jpg
 
HAhaaa duuuh!!!!!....Nifah umeonaeee iv kwanza ule ni Mwanya au Geti????..

Ha ha ha mimi napendaga zile nywele zake akizifuga nzuriiii.Huo mwanya ni shiidah mazee.
Halafu eti naye ni fashionista sijawahi kumuona akivaa nguo ya maana zaidi ya yale matambala yake sijui ananunuaga mtumbani hata sielewi!
 
Haya basi kila la kheri ila ile sura ya Lotus....
Mhhhhh Mungu anisamehe tu.

Na anavojiwekaga sasa Mara viduku rasta zenye marangi ya ajabu mi huwa simuelewi style yake ya nywele na mavazi.
 
mimi ananiuzigi ile bangili anayovaaga puani kama mmakonde
 
Na anavojiwekaga sasa Mara viduku rasta zenye marangi ya ajabu mi huwa simuelewi style yake ya nywele na mavazi.

Yaani ananichefuaga kwenye suala la muonekano wake acha tu.Mara avae mihereni gani sijui! Hivyo viatu sasa.....
Ila ana kipaji cha utangaji sana.Napenda ile section yake ya style tips. Ajabu yeye hafanyi vile!
 
Mwenyewe sana tu hunichefua na anavojiweka kipindi ni fashion lakini yeye ndo anavaa vibaya ka nini.Ila kipindi anakiwezeaga sana tu Leo alipendeza na gauni LA mama kijacho.
 
Back
Top Bottom