Kumbe mke wa stephen curry ni wa 'Kienyeji'

Kumbe mke wa stephen curry ni wa 'Kienyeji'

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu.

Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo ya kikubwa ndo maana wamedumu kwenye hili penzi.

IMG_20230802_205204.jpg
 
Ngoja wataalam waje.

Ila kuna mwamba alishasema anapiga vitatu asbh, vitatu mchana na usiku anapiga hadi apitiwe usingizi hapo vinaweza fika hata vitatu au kuzidi. Sina experience ila ngoja waje
😁😁Mi nlijaribu kupiga kipind nko uboyzn, form nlipita free nlikuwa sijui ila kufika form six wahuni wakanipa code venye wanaishi aisee nika-force kupiga bao mbili....naomba niishie hapa nshakua emoshno
 
Back
Top Bottom