Kumbe mlenda sio mboga

So, ukipiga ugali na maharagwe pembeni mlenda, inakuaje hapo kama mlenda cyo mboga na maharagwe pia wanasema cyo mboga.
 
Napenda mlenda ukiwa umemixiwa na nyama au maharage,lakini nikikuta umekaa single hakuliki hapo
 
Ki biologia mlenda(ule wa kusaga wa kijijini) usiokuwa na bamia au majani ya maboga hauna viwango vinavotakiwa kujitosheleza kuwa na vitamini kwa ajili ya body metabolism,ni kama kula makapi cuteboy Amavubi
 
Last edited by a moderator:
Alafu wanawake wanaupenda,sijui kwa nini
 
mhh ilinishinda hii mboga kabsaa yaan..
 
Nikila hii kitu najiona ka nakula ugali na maji
 
Ndo umenikuza huo mimi! Bonge ka mboga! Mihanyenyi!
Agwe Mnya Nkhome, yonene miyago mnya Chamkey,
Yaniwapo semsema vibaya mlenda naona kama wanakosea sana hakuna mboga yakufananisha nayo, mlenda huisha kwanza kabla ya nyama na mziwa,
Kwangu mlenda ni kama Metro ya ugali unaenda bila kutafunwa nakama utatafuna basi, very softly, hata kichnga kataula na kushiba kilaiini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…