Kumbe mpaka Morogoro UKIMWI pia upo

Kumbe mpaka Morogoro UKIMWI pia upo

Kilobyte

Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
32
Reaction score
37
Salaam wakubwa,

Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari.

255623225621_status_20495cde91cb472e8a5b72a310490dcb.jpg


Kwa ambae hajaelewa.

Wanaita UMEME, UKIMWI, AIDS, VVU, HIV, NYAYA, SHOTI na majina mengine watayoleta wadau hapo chini.
 
Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu

Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee
 
Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu

Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee
Kansa wanasema wanapata Wamarekani tu, huku ni presha na sukari
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mungu atuhurumie kwa kweli...
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mumgu atuhurumie kwa kweli...
Ndo mana yule dada alisema kuna watu na viatu, nina wasiwasi na huyo jamaa yako
 
Back
Top Bottom