Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 19, 2022 #1 Salaam wakubwa, Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari. Kwa ambae hajaelewa. Wanaita UMEME, UKIMWI, AIDS, VVU, HIV, NYAYA, SHOTI na majina mengine watayoleta wadau hapo chini.
Salaam wakubwa, Katika pitapita zangu za hapa na pale ktk mji kasoro bahari nikakutana na hiyo kitu. Kubwa ni kukumbushana tuh. Upo. Jihadhari. Kwa ambae hajaelewa. Wanaita UMEME, UKIMWI, AIDS, VVU, HIV, NYAYA, SHOTI na majina mengine watayoleta wadau hapo chini.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jul 19, 2022 #2 Ndiyo mwache kumendea malaya
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jul 19, 2022 #3 Jasmoni Tegga said: Ndiyo mwache kumendea malaya Click to expand... Bahati mbaya anayekupa wala sio malaya.
Jasmoni Tegga said: Ndiyo mwache kumendea malaya Click to expand... Bahati mbaya anayekupa wala sio malaya.
Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 19, 2022 Thread starter #4 Jasmoni Tegga said: Ndiyo mwache kumendea malaya Click to expand... Tukiacha uchumi utawachumu
Hu Jintao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 1,726 Reaction score 3,359 Jul 19, 2022 #5 Mhhhhhh!!!! Kumbe UKIMWI Bado upo🙆🙆🙆
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 19, 2022 #6 Gridi ya taifa..ukimwi wa dar vipi NI mkali wakuu?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jul 19, 2022 #7 Nahisi Wakulungwa mabachelor watazid kula nyetro daima
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Jul 19, 2022 #8 Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee
Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee
Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 20, 2022 Thread starter #9 Kim jong liu said: Mhhhhhh!!!! Kumbe UKIMWI Bado upo🙆🙆🙆 Click to expand... Inategemea na location. Mbinguni bado haujafika nadhani. Ila kila penye wapenda shumbwela upo
Kim jong liu said: Mhhhhhh!!!! Kumbe UKIMWI Bado upo🙆🙆🙆 Click to expand... Inategemea na location. Mbinguni bado haujafika nadhani. Ila kila penye wapenda shumbwela upo
Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 20, 2022 Thread starter #10 Joanah said: Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee Click to expand... Kansa wanasema wanapata Wamarekani tu, huku ni presha na sukari
Joanah said: Watakuja kukwambia siku hizi wanaogopa cancer na sukari tu Ila deep down ukimwi haujawahi kuzoeleka mazee Click to expand... Kansa wanasema wanapata Wamarekani tu, huku ni presha na sukari
Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 20, 2022 Thread starter #11 ndege JOHN said: Nahisi Wakulungwa mabachelor watazid kula nyetro daima Click to expand... Huko lazima upitie japo mara moja ktk maisha 😁😁
ndege JOHN said: Nahisi Wakulungwa mabachelor watazid kula nyetro daima Click to expand... Huko lazima upitie japo mara moja ktk maisha 😁😁
Hu Jintao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 1,726 Reaction score 3,359 Jul 20, 2022 #12 Kilobyte said: Inategemea na location. Mbinguni bado haujafika nadhani. Ila kila penye wapenda shumbwela upo Click to expand... Shumbwela🤣🤣🤣🤣 Bilashaka ni kizulu
Kilobyte said: Inategemea na location. Mbinguni bado haujafika nadhani. Ila kila penye wapenda shumbwela upo Click to expand... Shumbwela🤣🤣🤣🤣 Bilashaka ni kizulu
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jul 20, 2022 #13 Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mungu atuhurumie kwa kweli...
Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mungu atuhurumie kwa kweli...
Kilobyte Member Joined Mar 29, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jul 20, 2022 Thread starter #14 stephot said: Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mumgu atuhurumie kwa kweli... Click to expand... Ndo mana yule dada alisema kuna watu na viatu, nina wasiwasi na huyo jamaa yako
stephot said: Kuna jamaa yangu alikuwa anasema ni mambo ya kusadikika tu Ukimwi haupo,Mumgu atuhurumie kwa kweli... Click to expand... Ndo mana yule dada alisema kuna watu na viatu, nina wasiwasi na huyo jamaa yako