Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Masseto

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2020
Posts
1,615
Reaction score
3,205
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa anaiweka password ngumu kinoma, nikatengeneza account ya Facebook nikachukua picha za jamaa angu wa mkoani ni handsome na mtu wa viwanja vikali, mtu wa kubadirisha magari tu, nikaziweka picha zake kadhaa nikamfriend request mchumbaangu akaAccept, tukachart kama siku mbili kisha nikamtongoza hajachomoa demu akakubari safi tu, nikatafuta laini mpya kisha nikaDownload app ya kubadirisha sauti nikawa naongea nae adi usiku tunachart whatsapp kisha nikamdanganya mim naishi mtaa wa nne kutoka kwao ila nikamwambia nimesafiri mara moja ila ijumaa narudi,

Nikampromise namletea zawadi ya simu ya Samsung brand new na viatu, nikachukua clip fupi ya samsung unboxing yan akapagawa , akafurahi sana na mabusu mengi mengi, nikamuomba picha zake za uchi akapiga akanitumia zakutosha, kiufupi ni kwamba mahaba yakawa yamekolea nazi haswaa tena kwa mtu ambaye hamjui wala hajawai ata kuonana nae ila anamtumia picha za uchi adi K yote kaipiga picha kanitumia. “inaniumiza kichwa lakin nataka niuone mwisho wake huo kesho"

Tumepanga mengi ya maisha adi tupelekane kwao ndani ya wiki na nusu tu kaingia kingi mazima uyu mpenz wangu wa moyo tena kwa mtu hasiyemjua,

Tumepanga tukutane kwenye Guest house fulani ivi iyo ijumaa tuikule mbususu ameniambia fresh na anahamu ya kulionja dushe langu na amenipa ahad nyingi sana za kunipa penz tamu. Sasa nataka nimchezee mchezo japo inaumiza moyo,

nimeshaenda kumpanga na jamaa wa kwenye iyo gest kwamba tucheze mchezo demu nitampigia simu anapokuja nitamwambia aje chumba namba fulani mlango upo wazi, yan anapoingia tu jamaa azime umeme kwenye main switch kuwe giza totoro alaf baada ya dakika maybe 15 awashe ,

Kabla ya yote tumepanga mim na uyu demu kwamba akifika tu tuanze na romance moja kwa moja kabla ya salamu, sasa mim nitamuanza na romance adi nimle kabisa adi umeme unapowaka akute kumbe yule mpenz wake mpya wa Facebook sio kumbe ni mim mpenz wake ninayetarajia kumuoa na kwao nimetambulishwa na huduma zote namfanyia, .

Wakuu hii situation inaniumiza moyo na sijui kama Dushe litasimama lakin nitaliinua na K-vant mojamoto..

WAKUU ILO TUKIO NALIFANYA KESHOKUTWA NIOMBEENI WAKUU..

[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa
Hakuna mke hapo kaka, tafuta mtu mwingine kabla hujajiingiza kwenye shida
 
Yaani umeshajua kua huyo mpenzi wako anajiuza au analika kirahisi,halafu na wewe umepanga umle tena kwenye giza? hivi kwa tabia yake hiyo unadhani ni wangapi wamesha mla kwa style hiyo? unajua kua Ukimwi bado upo na una ua?

Kaa chini,tafakari kisha jionee huruma,usiharibu maisha yako kwa starehe ya madakika au kwa kumkomoa mtu,sasa mpenzi mwenyewe unasema anajiuza,unadhani ukimla ndio utakua umemkomesha au umempiga Chura teke?
 
Ndio shida ya kumchunguza bata..... hatamla
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.
Mkuu usituangushe sasa hiyo Ijumaa, usisahau hata vipicha picha vyenye kuficha sura basi
 
Salaam wanaJF.

Ninademu wangu tupo kwenye mahusiano ni mwaka sasa, tunapendana sana na ananipenda kinoma, hakuna ishara yoyote ya usaliti kwangu,

Pisi kali, shepu kali ni mtulivu anajiheshimu na tumepanga kuoana mwakani na adi kwao natambulika na mipango iyo ni mwakani.

Sasa wiki iliyopita nikaona hapana kwa huu utulivu ivi ndivyo alivyo au anauasi nyuma ya pazia maana hana ishara ya kuchepuka japo simu yake uwa a
[emoji23][emoji23] dunia hadaa, walimwengu shujaaa.
 
Back
Top Bottom