Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

kuna thread hapa JF ya kaka aliyekatwa mkono kwa kutembea na mke wa mtu. isome halafu utafahamu uamuzi wa kuchukua

si afadhaki mikono anayo miwili..nimewahi ona picha ya mtu anakatwa 'kikojoleo' kabisa!!
 

haaaa, we mgonge tu usogeze masters yako!!!! ukimaliza, kimbia, mbwage puuuuuu

PJN mtwara
 
Last edited by a moderator:

dah... pole kwako na kwa mpezi wako na mume wa mpenzi wako.... hiyo love triangle ina hasara kuliko faida aisee
 
si afadhaki mikono anayo miwili..nimewahi ona picha ya mtu anakatwa 'kikojoleo' kabisa!!
tobaa!! dini yangu inasema; usitamani mke asiyewako, kumbe Mungu hakukosea aliposema hivyo

oooh, naomba iendelee kuwa slow tu.Nikiwa nakusoma huwa najikuta meno yako nje sababu nakunja sana macho kupunguza mwanga.Hujambo lakini?
fine, for you I will
 

..mwisho wake nawe atakutangazia anakupa pesa yake, elimu yako "dhiki" tu, na hajiskii tena kuendelea nawe. Inshort, 'what goes around comes around!'

....hapo hujafumaniwa bado na mumewe 😎
 
Yeye anataka mume mwenye elimu gani? Na kama tatizo ni elimu, mwambie ampeleke shule. Kwa wewe huuyo hakufai, maana inavyooneka wewe unachopenda hapo ni pesa yake tu.

Kwani wakati anamchumbia hakumwuliza elimu yake?
 
Sababu ni mbili tu,mwanamke anataka kuvunja ndoa!Asalaale!Nazidi kupata kizunguzungu,nitaoa kweli?
 
Muulize Dr. Slaa anakumbana na maswaibu gani sasa! Tafuta wa kwako, acha mambo ya kudandia.
 
imagine amuache mumewe aolewe na wewe...
Then mwanamke apate mwanaume mwenye elimu kubwa zaidi yako...... ATAKUACHA!????
 
Hivi kwanini watu hawafikirii??? unatembea na mke wa mtu na unakuja hapa JF kuhalalisha??? Hao watoto unataka kuwaharibia maisha??unajua shida ya kulelewa na mama wa kambo??? naomba ujue hao watoto wakija kupata shida wewe ndo utapata laana!!!! Shame on You!!!
 
Nunua KY ndugu yangu itakuja kukusaidia.
 
Achana naye wanawake wengi tu bado hawajaolewa bora ukawasitiri wao kuliko huyo mnafiki.
 

si unajua mla vya wenzake na vyake pia huliwa???? Inaonesha ni kiasi gani huyo mdada kakuzidi akili inamaana mpaka sasa hujajua tu nia na lengo lake??? Mbona uhusiano wenu emekaa kimtego mtego sana ??? Wewe unampenda shauli ya vijisent vyake ambavyo kakuhonga miaka yote hiyo sasa na yeye anataka now arudishe fidia na kupunguza hasara kwa stage ulio fikia kielim anajua mda wowote kuanzia sasa utaanza kula mavuno ambayo naye anahusika hivyo lazima ashiliki kula matunda ya mavuno hayo?? Lakini kaa ukijua huyo ni mke wa mtu tena kesha zaa nae mpaka watoto wewe huna lolote zaidi ya kuhongwa tu
 
ww heb mwache mke wa mwenzio msiwafanye hao watoto wakose malez ya baba na mama, na huyo bi mkubwa wakati anaolewa na huyo mumewe hakumuona kuwa ni form four, si amsomeshe kama ana hela sana za kuhonga wanaofanya masters, ndg yangu huyo mama gube gube,una miaka 35 saa hz hairud nyuma hyo inakwenda mbele haya ukiendelea kumng,ang,ania huyo ATM machine wako ln utaanza maisha yako uanzishe na ww family yako??? tafakar kaka.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…