Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

masters na vijisenti vya kuunga kwa akina dada... elimu bongo si mchezo

Ni kweli Cartura! Ujue kama kwenu ni zero, ni tatizo pia, wewe masters yako uliipata kiulaini kwa sababu baba na mama yako walijiandaa!
 

Asante leh! Sijui wewe ni mdada ama vp! Any way, ushauri wako ni mzuri! Ila acha nisikie zaidi kwa wadada:....!
 
Aisee unafanya mchezo na mke wa mtu, naona unatafutwa kupondwa hizo nyeti zako@makoye78
 
Aisee unafanya mchezo na mke wa mtu, naona unatafutwa kupondwa hizo nyeti zako@makoye78

Aaah, Kibirizi! Mie napajua Luhunga, Kihumulo, Katokoro na Izimbya yote! Nishauri usitishie dogo:....... Nija kukutela amaizi!
 
Mweee!!Mke wa mtu sumu.Itafika kipindi hata wewe utatafutiwa mwingine ambaye ataelezwa kuwa unatumia fedha zake vibaya.Shukuru Mungu umeujua ukweli..kimbia haraka na utubu kwa hiyo dhambi(Kumbuka mtenda hutendwa)

Lilian Masilango! Una ushauri mzuri, ila inaonekana una tabia ya kulipiza....! Ukimpa vizuri, mmeo hatatoka nje! Ila usipomridhisha atatoka..... Mtaishia kulipizana!
 
Lilian Masilango! Una ushauri mzuri, ila inaonekana una tabia ya kulipiza....! Ukimpa vizuri, mmeo hatatoka nje! Ila usipomridhisha atatoka..... Mtaishia kulipizana!

ahahaa.sio tabia ya kulipiza ndugu yangu..Thats amongst formulas in this life.Upandacho mtu ndicho utakachovuna.
Unaweza ukawa unambeba kwa mbeleko na kumtumikia kama mfalme lakn bado akatoka.Hapo kuna mambo mengi yanahitaji maelezo tofauti.......
 
mla uliwa muosha uoshwa endelea na wewe utakuja kuchukuliwa wako same tena kwa vigezo usivyokuwa navyo acha kumchuna ampeleke mumewe shule wewe hata yeye anatumia pesa vibaya kwa kuonga hawara yeye anaitaji shule ya nithamu na matumizi ya pesa unampeleka wapi
 
Du ndugu yangu kumbe ww ni mwanafunzi yaani bora ungekuwa Mwanachuo, lakini sikushauri kwani huyo Dada ana miaka 35 wewe una chini ya 20, ushauri wa zomba kapime kwani huyo dada ni mzoefu sana kwako halafu mapenzi ya Pesa ni uongo mtupu hakuma Mwanamke atakupa pesa kwa ajili ya penzi hata km ni Mbunge anayepokea 200,000/= hapa Dodoma
Namalizia kusema huyo dada bado atajaribu wanaume wengine kadhaa kwa pesa yake ili kupima urijali wao ww keshakuacha
Tambua hilo
 
Mweee!!Mke wa mtu sumu.Itafika kipindi hata wewe utatafutiwa mwingine ambaye ataelezwa kuwa unatumia fedha zake vibaya.Shukuru Mungu umeujua ukweli..kimbia haraka na utubu kwa hiyo dhambi(Kumbuka mtenda hutendwa)

Eeeeh bibie upo? habari za masiku mengi!
 

Ukwaju, nadhani umeanza kutoa ushauri bila hata ya kuisoma na kuielewa mada iliyopo mezani! Kwa lugha ingine umedandia...! Nakushauri uisome vizuri mada kabla haujatua ushauri! Pia uwe makini na kila jambo usidandie dandie utakuja dandia magari ya jeshi ukaambulia kichapo!
HOJA!
1. Sioni tofauti kati ya mwanafunzi na mwanachuo, kwa mantiki kwamba hata wanaosoma chuo (wanachuo) bado ni wanafunzi.
2.Umri wangu si huo unaoutaja, isome mada yangu hapo juu na utaujua!
 
chuma tu hela, ukimaliza shule potea kabisa dodoma ila jua na mkeo ataliwa siku moja
 

elimu ina mahusiano na mapenzi,alivyompa k mpaka watt wawili akujua kua kia elimu ya uyo jamaa ni ndogo,achana nae uyo ni shetani kabisa.
 
Asante Lilian, kumuacha ni vema! Suala ni kwamba nitumie mbinu ipi kumwacha bila kumfanya akaumia sana?

aumie na nini?kitendo cha yeye kukuambia kuwa ni mke wa mtu,tayari kakwambia kikubwa MWOGOPE NA UMWACHE!si ajabu kashakuona migo.tatizo mnapenda sana mitermko ya maisha,vya bure gharama!we endelea nae ujikute mabwepande!
 
shauri yako utaliwa tigo, cha mtu mavi
 
did u ask about her past relationship history before falling completely in boat of love? kama ukuuliza swali basic kama hilo mapema basi ni haki yako ya msingi kung'atuka.
 
aliekuambia mapenzi yanaangalia elimu nani???? nasiku zote alikua hajiui kama huyo mumewe hajasoma mpaka kakupata wewe msomi???? huyo mwanamke sio muaminifu tuu. kua makini namagumegume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…