Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

aliekuambia mapenzi yanaangalia elimu nani???? nasiku zote alikua hajiui kama huyo mumewe hajasoma mpaka kakupata wewe msomi???? huyo mwanamke sio muaminifu tuu. kua makini namagumegume

Ushauri mzuri! Jizi la mapenzi lile......... Nalitema!
 
Asante Lilian, kumuacha ni vema! Suala ni kwamba nitumie mbinu ipi kumwacha bila kumfanya akaumia sana?

Yeye mbona alikuambia kuwa ni mke wa mtu, baada ya kuwa amekuficha ukweli, bila kujali kuwa ukiujua ukweli utaumia sana? Hapo mimi naona siyo kweli kuwa unaogopa yeye kuumia ila wewe ndiye unayeogopa kuumia kwa kukosa vijisenti anavyokupatia unapokuwa umechalala.
 
Mwanamume ndiye aliyemsomesha huyo mwanamke hadi akawa daktari (MD). Shukrani ya kujinyima ili mke wake asome ndiyo hiyo-eti hamtaki kwa sababu hana elimu.

mmmh...inaelekea unamfahamu huyo mwanamke..au wewe ndiye mumewe
 

hahahaaaaaaaaa.........!
 
Pole sana,what a risk,mkimbie aisee kabla hujapigwa mapanga shaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…