Enyampisakiniga Eyenyela
Member
- Aug 14, 2025
- 14
- 54
Hakuna chawa mwenye akili timamuSikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.
Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!
Jikaze basi..ndo nini sasa namna hii?Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.
Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!
Basi unaweza kukuta povu lote hili kisa hajaunga mkono ule ushoga wa n.r.n.e 🤣🤣🤣Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.
Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto wetu shule. Sijui nani alikuwa anamuandikia mashahiri ya zile nyimbo zake zilizovuma saana kipindi kile...aisee jama mtupu kabisa!!