Kumbe Mrisho Mpoto ni mjinga kiasi hiki

Hakuzidi we mburukenge kwa upumbavu. Hv wapare mna nini? Udumavu au? Mbn hakuna mwenye akili? We ni zero brain
 
Jinga kabisa, hivi ni lijitu la wapi? Kabila gani? Sawa na lile li Balile
Hao wanapewa mifupa inayodondoka chini ya meza wakati wakuu wanakula...,kwa mfano,huyo Deodatus Balile,kwa maneno yake mwenye tena kwa kujisifu alisema Rostam Aziz ndiye aliyelipia gharama za Masomo yake kule Hull,Uingereza kipindi kile. Na kwa vile Rostam anafaidika meza kuu ya watawala,unatarajia Balile amkosoe mama hata kama anakosea waziwazi? Waandishi wengi wa habari wako compromised,wanakosa uhalali na nguvu ya kukosoa kwa vile vitu vya kuwalainisha vimeshawapitia...japo hivyo wanavyopewa ni peanuts....lakini kwa gharama ya taifa.
 
Ukitaka kujua upumbavu na ujinga wa Mpoto muulize Mgunga wa myeyelwa (atanisamehe kama nimetaja jina lake vibaya) maana ndio watu waliomlea huyo mpumbavu na mjinga.
 
AIONE BALILE DEODATUS MHAYA KAFIRI
 
Lakini drama za utekaji mbona hivi sasa hakuna tangu kusambaratika kwa chadema?

mi nadhani,
huenda chadema ndio ilikua genge la kihalifu la utekaji nchini πŸ’
 
Lakini drama za utekaji mbona hivi sasa hakuna tangu kusambaratika kwa chadema?

mi nadhani,
huenda chadema ndio ilikua genge la kihalifu la utekaji nchini πŸ’
Baada ya hiyo chadema kusambaratika watekaji wako huru kufanya watakalo, maana hamna wanaolinda raia tena.
 
Sasa Mtu Anatembea Bila ya kuvaa Viatu Jiji lote la Daresallam na jua Kali hivyo Unadhania Atakuwa na Akili kichwani huyo? Mrisho Mpoto ni Chizi Anayetembea Pekupeku- Wakati wa jua Kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…