mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Umekosa cha kuandika?Hakika Mtangazaji Jane John amekuwa Na wakati mgumu wa kutangaza michezo Leo SAA 2.00 wakati wa taarifa ya habari TBC kwani ushabiki Na matokeo ya kufungwa Na TP Mazembe yamemnyong'onyeza.Pole sana Dada Jane Chezea TP Mazembe wewe.
Wewe mmakonde umekosa cha kusoma mpaka umerukia uzi huu?Umekosa cha kuandika?
Nasikia ulizimia kwa masaa 24 mara tu baada ya kusikia ma dc wapya huku jina lako likikosekanaWewe mmakonde umekosa cha kusoma mpaka umerukia uzi huu?
Mimi nipo huku vijijini nalima tangawizi, uDC wa nini?Nasikia ulizimia kwa masaa 24 mara tu baada ya kusikia ma dc wapya huku jina lako likikosekana
Mtajipa shughuli kibao sasa hivi baada ya kutupwa kwenye kapu,chezea ngosha nyinyi?Mimi nipo huku vijijini nalima tangawizi, uDC wa nini?