Kumbe mtoto wa Alikiba amepata division 1 ya pnts 7,lkn Kiba hapendi sifa tu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Ali Kiba akifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa tv ya mtandao kuhusu matokeo ya mtihani ya mtoto wake wa kwanza amedai amepata daraja la kwanza huku akipata A zote lakini watu hawajui sababu yeye hapendi mauzo sana kama watu wengine
 
Huyo mwanae ni kidato cha ngapi?
Kuna matokeo ya kidato cha pili na kidato cha nne, ambayo yametangazwa na Necta!
Lakini pia hata kidato cha kwanza na tatu matokeo yao hupangwa kwa division!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ali Kiba akifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa tv ya mtandao kuhusu matokeo ya mtihani ya mtoto wake wa kwanza amedai amepata daraja la kwanza huku akipata A zote lakini watu hawajui sababu yeye hapendi mauzo sana kama watu wengine
Na wewe mbona kama unampaisha, wakati huohuo unasema hana misifa? Kuwa siliazi mkuu!
 
Back
Top Bottom