MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wivu
Huyo mwanae ni kidato cha ngapi?Ali Kiba akifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa tv ya mtandao kuhusu matokeo ya mtihani ya mtoto wake wa kwanza amedai amepata daraja la kwanza huku akipata A zote lakini watu hawajui sababu yeye hapendi mauzo sana kama watu wengine
Na wewe mbona kama unampaisha, wakati huohuo unasema hana misifa? Kuwa siliazi mkuu!Ali Kiba akifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa tv ya mtandao kuhusu matokeo ya mtihani ya mtoto wake wa kwanza amedai amepata daraja la kwanza huku akipata A zote lakini watu hawajui sababu yeye hapendi mauzo sana kama watu wengine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"Amepata daraja la kwanza uku akipata A zote'' alisema Ali Kiba.
SawaWivu
ππππ
π€£π€£π€£π€£ Tanzania Ni tamu aishi vituko