Elections 2010 Kumbe Mwalimu Nyerere bado anapiga!

Elections 2010 Kumbe Mwalimu Nyerere bado anapiga!

Status
Not open for further replies.

Rugemeleza

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2009
Posts
668
Reaction score
136
Nimeiona hii katuni ya Gado inasema mengi kama ikisambazwa inaweza kusaidia kidogo.

 
Hiyo bakora itaanza kutumika 31 Oct 2010.
 
Eeeee! Sijui kwa nini Pinda awe kwenye foleni maana amebaki kuwa mtoto wa mkulima kwelikweli
 
Huyo Askofu atakuwa Kilaini kama sio Kilaini basi Mokiwa!
 
Asante Ndugu,

Lakini tusingoje fimbo ya mwalimu,yeye mwenyewe kwenye hotuba zake ametuachia bakora,nayo ni kura zetu,tuwanyime kura viongozi wabovu,

Tusikubali kulaghaiwa na wabinafsi,wakishaingia Ikulu wala hawawajali wananchi,Tumia kura ya vizuri,Tuijenge Tanzania yenye Amani na Umoja,maendeleo mbele daima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom