Asante Ndugu,
Lakini tusingoje fimbo ya mwalimu,yeye mwenyewe kwenye hotuba zake ametuachia bakora,nayo ni kura zetu,tuwanyime kura viongozi wabovu,
Tusikubali kulaghaiwa na wabinafsi,wakishaingia Ikulu wala hawawajali wananchi,Tumia kura ya vizuri,Tuijenge Tanzania yenye Amani na Umoja,maendeleo mbele daima.