Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
Basi huyu Mzee Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA kwa sasa imezidiwa na machawa na uchawa.
Kwaakili za kawaida hivi inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka zaidi ya ishirini (20 ) na bado watu Wanaendelea kuwa na imani nae hata baada ya kuonesha matokeo hasi?
Hawa watu wako tayari kwa gharama yoyote hata ya kukivuruga chama kisa Freeman Mbowe?
Je, haya ni matokeo ya uchawa uliopiliza ndani ya CHADEMA?
Je, ni Mungu tu amempa KIBALI hiki?
Je, ni Uchawi?