Bila METAPHOR ambayo mbowe amekua ana apply hapo CDM hakuna mwanaume mwenye 💪 ya kupambana na CCM na akabakia salama kwa miongo miwili NON_STOPHuyu Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA imezidiwa na machawa Kwa Sasa,
Inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka 20 na bado watu Wanaendelea kuwa na imani nae kwa gharama yoyote hata ya kukivuruga chama?
Je, ni uchawa uliopiliza?
Je, ni Mungu?
Je, ni Uchawi?
Sasa huyu aliyepigwa risali 16 yeye asemeje?Bila METAPHOR ambayo mbowe amekua ana apply hapo CDM hakuna mwanaume mwenye 💪 ya kupambana na CCM na akabakia salama kwa miongo miwili NON_STOP
Kwenye utawala wa MAGUFURI ilifika kipindi mbowe alipoteza kila kitu mashamba,Jimbo, bilicanas na account ku be freeze na kikubwa zaidi AKAPEWA NA UGAIDI ni nani anakumbula mbowe ALIKUA MTUUMIWA WA UGAIDI.
Haya mambo sio story za UJITUKABEJA
Akatengeneze chama chake/ au atulie paka pale atakapo aminiwa kuvaa viatu.Sasa huyu aliyepigwa risali 16 yeye asemeje?
Ndio nmekuja live una la kusema?Wewe ni Mbowe mwenyewe naona umekuja live
CCM DAIMABasi huyu Mzee Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA kwa sasa imezidiwa na machawa na uchawa.
Kwaakili za kawaida hivi inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka zaidi ya ishirini (20 ) na bado watu Wanaendelea kuwa na imani nae hata baada ya kuonesha matokeo hasi?
Hawa watu wako tayari kwa gharama yoyote hata ya kukivuruga chama kisa Freeman Mbowe?
Je, haya ni matokeo ya uchawa uliopiliza ndani ya CHADEMA?
Je, ni Mungu tu amempa KIBALI hiki?
Je, ni Uchawi?
Kati ya mbowe na lisu nani ni founder na nani mkaribishwaji..Kwanini Mbowe asiwe na chama chake kingine akiongoze mpaka kifo
Anabalaa sana huyu MwenyekitiHuyu bwana tena anakusanya pesa mtaani peke yake