kumbe mzee sepetu alikuwa mkristo??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Sio kawaida kwa waislamu kuagwa sura ya mwisho na miili yao kuhifadhiw kwenye masanduku(majeneza) kama ilivyotokea kwa marehemu mzee sepetu.mzee alikuwa mkristo au swaga tu,maana mazishi ya kikristo uwa yana mbwembwe nyingi tofauti na waislamu,au labda waliamua kufanya tu kama fasheni
 
Mbona na kanisani kapelekwa. Kufanyiwa ndo misa sijui.
 
Mh hatar ila mungu mmoja tu so haina majotro ingaw bado sijaelewa sababu ya kufany wakat ni muislam
 
Ulijizisha ndipo ukashangaa, maana kwa kwa Tanzania yetu mbona wapo wangi wenye dini tofauti na wazazi wao kwa sababu mbalimbali.
 
ni mkristo na wema alisema mama yke n baba ake waligombona mambo mengi baadhi ni hicho so waliachana...mzee ni mkristo mkatoriki so lazima azikwe vizuri kiheshima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…