Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nimecheka sana Mkuu. Hapana kuna Mzena Hospital moja tu. Msamehe Mgeni kwa Kukosea huko na hata waliomuandikia.Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.
Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.
Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
Mkuu na mimi ndio nasikia leo,JUkwaani hatuna watu kutoka zanzibar watusaidie kweli?
Zenji mzena hospital ipo ama lah?
Ambition plus
Haha huu mtaa BanaMbona matui kiteto kuna SOWETO.
Walitumia taarifa ya magu, wali edit, wakasahau jina la hospitalMkuu na mimi ndio nasikia leo,
Nahisi kuna makosa ya kiuandishi ama hii ni mpya imejengwa miaka hii
Duh aisee!Walitumia taarifa ya magu, wali edit, wakasahau jina la hospital
Makamu wa Rais kallishwa tango pori kwahyo?Hakuna hospital ya Mzena huko Zanzibar.
Hata songea ipoLeo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.
Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.
Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
KAma kila mtu kahamaki, basi uandishi ndo shidaMkuu na mimi ndio nasikia leo,
Nahisi kuna makosa ya kiuandishi ama hii ni mpya imejengwa miaka hii