Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Mkuu huoni nimeandika chit chatUkisikia watu wajinga wanaitwa na wewe ujitokeze ni miongoni mwao
Nenda monchwari ya Muhimbili kila siku watu wamejaa kuchukuwa maiti zao, hii ina maana Muhimbili hakuna anayetibiwa na kupona?
JF imejaa mazezeta sana siku hizi.
Tena Mzena ndio inastahili sifa maana hawana monchwari hawana matarajio ya kutibu na wagonjwa kufa hapo.
Wazanzibari ni copy and paste ujue! Kila kilicho bara lazima nao waanzishe. Ni chanzo cha umeme tu, kimeshindikana.Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar.
Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo.
Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
Monchwari ❌Ukisikia watu wajinga wanaitwa na wewe ujitokeze ni miongoni mwao
Nenda monchwari ya Muhimbili kila siku watu wamejaa kuchukuwa maiti zao, hii ina maana Muhimbili hakuna anayetibiwa na kupona?
JF imejaa mazezeta sana siku hizi.
Tena Mzena ndio inastahili sifa maana hawana monchwari hawana matarajio ya kutibu na wagonjwa kufa hapo.
Ile ni binafsi, inamilikiwa na familia ndio maana nikauliza.Viwango vya nini? Wewe elewa inaitwa mzena kama inavyoitwa ya dar na znz
Inaponyesha bhn hao viongozi wakubwa wote unadhan hawaumwi ktk vipindi vyao vya uwongozi?Mzena haijawahi ponya mgonjwa yeyote toka ijengwe mwaka 1961 huwa inauguza marehemu tu