Kumbe Mzururo wetu wa Bombay ni Kutunukiwa PhD ili ije kutusaidia Kutamba nayo kwa 'Mazuzu' Jukwaani katika Kampeni ya 2025?

Kumbe Mzururo wetu wa Bombay ni Kutunukiwa PhD ili ije kutusaidia Kutamba nayo kwa 'Mazuzu' Jukwaani katika Kampeni ya 2025?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ni matumaini yetu tutaitumia Ziara hii pia kuweza Kutibu tatizo letu Kubwa la Kifua na Upumuaji ikizingatiwa kuwa akina Panjuani na Samjo wa Bombay Kiasili ni Wataalam mno wa Kutibu Changamoto hiyo tofauti na kule Marekani na Canada ambako tulikuwa tukienda sana.

Halafu awali tuliambiwa ni Mzururo wa Siku Tatu ( 3 ) tu ila nimetoka kumsikia Asubuhi ya Leo Mtangazaji Mmoja wa Kiume wa Radio One ambaye anapenda mno Kujipendekeza kwa Bombay Visitor akisema ni Mzururo wa Siku Nne ( 4 ) ikianzia leo.
 
Vipi mkuu we hukupata nafasi ya kuwemo kwenye msafara huko ziarani India?
Critic, All Rounder Analyst na Critical Thinker kama GENTAMYCINE kanwe siwezi kuambatanishwa na Wanafiki, Waongo na Mafisadi walioko Afrika na Duniani na hata ingetokea kwa jinsi nilivyo ningekataa Kuongozana / Kwenda nao.
 
Wivu na unafiki ni ugonjwa mbaya sana unaoweza kukusababishia shinikizo la damu na kukufanya uwe mchawi uishi kuzimu bila kujielewa
Pole sana mkuu
 
Niliposikia huyu mama wa kizimkazi anaenda kupewa "degree" Ya heshima India, moyo ukalia paaa, najiuliza kitu gani, kingine ameamua kuuza kwa magabachori!
Yaani anakaribisha wawekezaji wenye mtazamo wa, kimaskini, Arabs, Indians, chines, kila MTU anajua ukifanya kazi, kwa, mzungu,ni tofauti Sana kama unafanya kazi, kwa, Hao kenge wengine,
Ila Huyu shangazi, wa, kizimkazi ndio anawakumbatia,
Degree ya heshima ili ilete nini? Kwa kipi alichokifanya, hapa ni kutafuta umaarufu wa hovyo, tunajua nchi imeishamshinda, sasa ni kutapatapa
 
Back
Top Bottom