Kumbe na hii ni Ofisi!

Kumbe na hii ni Ofisi!

GM7

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
492
Reaction score
24
Naona hata huku kwetu ndio ofisi kama hizi zimeanza, Yaani ukifika hapo au maeneo hayo kama wewe ni mgeni usome bango hilo katika picha.

Kuuliza sh. 500
Kupelekwa sh. 1000
Kukaa sh. 100
attachment.php
 

Attachments

  • Image005.jpg
    Image005.jpg
    76.4 KB · Views: 1,453
dah! wahuni wa TMK hao, kwenye hii bongo.
 
Hii ndio anayolalamika Rev. Kishoka mtu anaaga nyumbani anakuja ofisini huu ni ubangaizaji mwingine na idleness, poor Tanzanians.
 
Yatupasa watanzania tufike mahala tuwe makini zaidi katika utafutaji! Nadhani njia hii ni ya kimwinyi sana ambayo uwezo wake wa kudumu sokoni ni mdogo mno, hivyo basi yatupasa tuwashauri watu kama hawa wawe makini katika kujitafutia rizki vinginevyo tabaka la wasio na kazi halitapungua kamwe!
 
kwa hiyo ofisi ndo hapo chini ya mti lol makubwa madogo yana nafuu
 
Katika nchi hii hili linakubalika.

Huu unaitwa ujasiliamali. Ukiuliza kama hawa wahudumu wa huduma hii wanahesabikaje katika employment 2000000 zilizoundwa na Sisi m, utaambiwa nao wamo.

Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom