Yatupasa watanzania tufike mahala tuwe makini zaidi katika utafutaji! Nadhani njia hii ni ya kimwinyi sana ambayo uwezo wake wa kudumu sokoni ni mdogo mno, hivyo basi yatupasa tuwashauri watu kama hawa wawe makini katika kujitafutia rizki vinginevyo tabaka la wasio na kazi halitapungua kamwe!