figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
SIku zote mchawi aliyemroga marehemu huwa anaongoza kwa kulia msibaniNimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣
Dunia🌎 simama nishuke.
Msanii wa Royal tour analeta maigizo kwenye misiba ya watu
View attachment 3515183
Sura ya marehemu inatisha sanaNimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣
Dunia🌎 simama nishuke.
Msanii wa Royal tour analeta maigizo kwenye misiba ya watu
View attachment 3515183
Huyu ni msanii, umesahau ike singo ya nywinyi, na ike ya who are you, kwa sas azinatrend, bado ile muvi aliigiza, she makes a good actor kwa kweliNimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣
Dunia🌎 simama nishuke.
Msanii wa Royal tour analeta maigizo kwenye misiba ya watu
View attachment 3515183
Ndio tunasema, Mauaji ya mo29 ni zaidi ya Soweto. Kwanini Serikali haijali? Waliokufa hawana ndugu wanaoumia?Kuondokewa na mpendwa wako inauma mkuu