Kumbe Namungo si wa mchezo mchezo

Kumbe Namungo si wa mchezo mchezo

Sijawahi kuzikubali hizi timu kubwa jinga kabisa, na ndio wanadumaza soka letu kwa kufanya mambo ya kijinga mfano kutokuwa na viwanja vyao, hawana uwekezaji wowote japokuwa wanawanachama wakutosha, migogoro ya kipuuzi
 
Tunzeni kauli zenu Wakuu,ndio kwanza asubuhi kwa Namungo
 
Kipa wao amesave nyingi..
Wanaweza kupoteza wakienda ugenini
 
Tunzeni kauli zenu Wakuu,ndio kwanza asubuhi kwa Namungo
Najua unaweza shangaa mpaka sasa hivi sio shabiki wa hizo timu kongwe kabisa, yaani kwa bongo nilikuwa shabiki wa mtibwa kabla ya kuanza upuuzi wao wa kuuza mechi maana hata ushahidi nnao, nikaachana nao na nilitegemea Azam ataendeleza makali sema ameingia kwenye mkenge wa hizo timu na amekuwa wa kawaida Sana, kinachotakiwa ni kuwa na timu za maana na sio ukongwe mbuzi huu
 
Back
Top Bottom