truth...( simba na yanga) yawezekana zikawa kikwazo kwa maendeleo yetu ya soka
Tunzeni kauli zenu Wakuu,ndio kwanza asubuhi kwa NamungoSijawahi kuzikubali hizi timu kubwa jinga kabisa, na ndio wanadumaza soka letu kwa kufanya mambo ya kijinga mfano kutokuwa na viwanja vyao, hawana uwekezaji wowote japokuwa wanawanachama wakutosha, migogoro ya kipuuzi
HaswaaaaaaUchawi
Najua unaweza shangaa mpaka sasa hivi sio shabiki wa hizo timu kongwe kabisa, yaani kwa bongo nilikuwa shabiki wa mtibwa kabla ya kuanza upuuzi wao wa kuuza mechi maana hata ushahidi nnao, nikaachana nao na nilitegemea Azam ataendeleza makali sema ameingia kwenye mkenge wa hizo timu na amekuwa wa kawaida Sana, kinachotakiwa ni kuwa na timu za maana na sio ukongwe mbuzi huuTunzeni kauli zenu Wakuu,ndio kwanza asubuhi kwa Namungo