Kumbe naweza tengeneza 1M kwa masaa machache tu!

Aiden paul

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
12
Reaction score
10
Habari za mchana wanakubwa zangu leo nimekuja na swali tena,
.
.
.
Nimepata wazo lakutengeneza pop corne ya vannila,ni biashara ambayo anaifanya rafiki yangu lakini yeye center huko Town..
.
.
.
.
Pia yeye anatumia mashine ya umeme, nikaonelea kwasababu huku street hakuna anaefahamu product hii basi nifanye kama kuwa suprise watu, lakini mimi nitaweka katika mfumo tofauti kidogo,
.
.
.
Nitatumia sufuria kupasua mahindi yangu halafu nitayeyusha vannila powder yangu kwa sufuria hio hio..
.
.
.
Hapo kwenye kifungashio sasa nitatumia mifuko ya plastic kufanya packaging,..nitaanza kusambaza madukani wakati huo nikiuza kwa bei ya jumla kila pakage moja nitauza sh/80 ili muuzaji auze kwa sh/100.
.
.
.
Kazi itakayobaki ni kutafuta masoko yakusambaza product tu!
Je kwakufanya hivyo nakosea wapi jamani au bado nimeiba ideas ya watu nimefanya dhambi ndugu zangu.
 
Hongera kwa wazo zuri ila usijisahaulishe tunataka uwe na leseni y biashara bila kusahau EFD hata kama hujafikia kiwango cha kulipia VAT.

Lazma tununue dream liner ya pili! [emoji1434][emoji41]
 
Habari za mchana wanakubwa zangu leo nimekuja na swali tena,
.
.
.
Nimepata wazo lakutengeneza pop corne ya vannila,ni biashara ambayo anaifanya rafiki yangu lakini yeye center huko Town..
.
.
.
.
Pia yeye anatumia mashine ya umeme, nikaonelea kwasababu huku street hakuna anaefahamu product hii basi nifanye kama kuwa suprise watu, lakini mimi nitaweka katika mfumo tofauti kidogo,
.
.
.
Nitatumia sufuria kupasua mahindi yangu halafu nitayeyusha vannila powder yangu kwa sufuria hio hio..
.
.
.
Hapo kwenye kifungashio sasa nitatumia mifuko ya plastic kufanya packaging,..nitaanza kusambaza madukani wakati huo nikiuza kwa bei ya jumla kila pakage moja nitauza sh/80 ili muuzaji auze kwa sh/100.
.
.
.
Kazi itakayobaki ni kutafuta masoko yakusambaza product tu!
Je kwakufanya hivyo nakosea wapi jamani au bado nimeiba ideas ya watu nimefanya dhambi ndugu zangu.
Idea nyingi huwa zinajirudia, ila ishu ni katika namna mpya ya kufanya bidhaa ikubalike!
 
Ili kupata 1M inakupasa kuuza zaidi ya pop corn 10000 kwa sh. 80 kila moja.

Maana yake uwauzie wateja zaidi ya 10000. Ukiuza tuseme umeuza kwa bei ya jumla madukani 80 bado utahitaji kuuza pieces nyingi sana ili kufikia 1M.

In short, kutengeneza 1M ndani ya masaa machache is nearly impossible
 
Yaan watu tumeuza machine za popcon ww ndo unakuja na wazo la popocon za vannila?😂😂...mbn zimetoka muda huu mwaka wa 3 mkuu..zipo za strawberry..cocoa powder,vanila..mwe..pole
 
Ili kupata 1M inakupasa kuuza zaidi ya pop corn 10000 kwa sh. 80 kila moja.

Maana yake uwauzie wateja zaidi ya 10000. Ukiuza tuseme umeuza kwa bei ya jumla madukani 80 bado utahitaji kuuza pieces nyingi sana ili kufikia 1M.

In short, kutengeneza 1M ndani ya masaa machache is nearly impossible

Ndio maana nikasema hiki anachosema mleta mada ni ndoto!
 
Back
Top Bottom