Aiden paul
Member
- Jul 12, 2018
- 12
- 10
Habari za mchana wanakubwa zangu leo nimekuja na swali tena,
.
.
.
Nimepata wazo lakutengeneza pop corne ya vannila,ni biashara ambayo anaifanya rafiki yangu lakini yeye center huko Town..
.
.
.
.
Pia yeye anatumia mashine ya umeme, nikaonelea kwasababu huku street hakuna anaefahamu product hii basi nifanye kama kuwa suprise watu, lakini mimi nitaweka katika mfumo tofauti kidogo,
.
.
.
Nitatumia sufuria kupasua mahindi yangu halafu nitayeyusha vannila powder yangu kwa sufuria hio hio..
.
.
.
Hapo kwenye kifungashio sasa nitatumia mifuko ya plastic kufanya packaging,..nitaanza kusambaza madukani wakati huo nikiuza kwa bei ya jumla kila pakage moja nitauza sh/80 ili muuzaji auze kwa sh/100.
.
.
.
Kazi itakayobaki ni kutafuta masoko yakusambaza product tu!
Je kwakufanya hivyo nakosea wapi jamani au bado nimeiba ideas ya watu nimefanya dhambi ndugu zangu.