Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
toka lini mtu na mpenzi wake wanabakana huyu dada anazinguaBwana eee,huyo demu hana story,anasema jamaa alimlazimisha ,sasa alibakwa wakiwa sehemu gani??ukute walikuwa nyumbani kwa ney harafu demu anasema kabakwa,hivi demu akija kwako na alikuwa ni mpenzi wako na ukamtafuna ni kubakwa huko?
Mbona mume na mke wanakaa nyumba moja na kuna kubakana kwani hao inashindikanajeHahaha...mdada/mwanamke wa miaka zaidi ya 25 aenda chumbani kwa mwanaume wake kisha akabakwa.
Mbona haendi kushitaki hilo kosa la jinai?
Kule zenj kuna sehem wanaita tobo la pili.nafikiri alibakwa huko hahaha
Nisha amedai kuwa msanii wa bongofleva, Ney wa Mitego ndiye aliyembaka na kumpa mimba
Lakini Ney wa Mitego ameng'aka na kudai sio yeye na hawezi kubaka kwa kuwa anapiganiwa na wasichana wengi sana