Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,421
Siku hizi wanaume hupata mapenzi kirahisi sana kutoka kwa wanawake kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hata ukiongea na mzee mwenzangu Bishanga atakubaliana na mimi.
Zamani enzi zetu makahaba walikuwa ni wachache sana na ilikuwa ni aibu sana kwa mwanaume kwenda kwa kahaba. Ni wale tu waliokata tamaa ndio ambao walikuwa wanakwenda kwa makahaba.
Enzi zetu sisi, mipaka na kanuni za jamii katika kushiriki mapenzi kabla ya ndoa zilikuwa ngumu sana. Mwanaume analazimika kuoa haraka kwa sababu kupata ridhiko nje ya ndoa ilikuwa ni shughuli pevu, na ndio maana wastani wa umri wa kuoa wakati huo ilikuwa ni kati ya miaka 23 mpaka 25, tofauti na siku hizi umri wa kijana kuoa umefikia miaka 30 mpaka 35. Mpaka hapo unaweza kuona ni kwa namna gani wanaume wanachelewa kuoa.
Leo hii inaonekana kama vile kila msichana ni kahaba. Hata wale watoto wanaoitwa, watoto wa geti kali, wanapatia mimba humo humo ndani ya mageti, sema tu kwamba, wengi huzichoropoa kiurahisi. Kufanya mapenzi ya utotoni hivi sasa ni kama sifa. Wataalamu wanasema kwamba, watoto wa kike wanaotoka kwenye familia zenye vurugu na tafrani hushiriki mapema tendo la ndoa.
Hebu tujiulize, je ni familia ngapi zina amani? Kwa hiyo watoto wa kike wengi huanza mapenzi utotoni na hivyo, vijana hupata asusa kwa kadiri wapendavyo, ni rahisi sana. Na ndio maana wanachelewa kuoa kwa sababu kile ambacho (kujamiiana) wanaamini ndio sababu ya wao kuoa wanakipata kwa urahisi.