hawa binti zangu akina bebii, feisibuku, ashadi, kongosho na wengineo kibao
eti hii tabia ya kutongoza wanaume mmeipata wapi?
mmmmhhh katoto kazuri Feisbuku unakusukumia kwa mkurya? mswalie Mtume tafadhali!nitamwomba mwita25 afanye hiyo kazi endapo watarudia kazi ya kutongoza wababa.
mbona TF anadai ulimuanza wewe kwa kumkaribisha dinner bahari beach?aiseee, bora niumie moyoni na nitajitahidi kupotezea kuliko kumtongoza mwanaume. Heshima inashuka sana, ni vile hatujui tu.
Husninyo anajua kutongoza huyo acha tu nimempigisha round about na kumchomesha mahindi karibia miaka miwili lakini yumo tu eti anasema mimi ndio chaguo la Mungu kwake kama Kikwetembona TF anadai ulimuanza wewe kwa kumkaribisha dinner bahari beach?
mbona TF anadai ulimuanza wewe kwa kumkaribisha dinner bahari beach?
Husninyo anajua kutongoza huyo acha tu nimempigisha round about na kumchomesha mahindi karibia miaka miwili lakini yumo tu eti anasema mimi ndio chaguo la Mungu kwake kama Kikwete
Khaaaaa!! Yaani ndio unataka kuendelea kunifukuzia hapa mbele ya kadamnasi hebu twende ukanifukuzie PM hapa kwenye kadamnasi sijazoeahahahaha! Kwanza we dogo una kesi laki 9.
Khaaaaa!! Yaani ndio unataka kuendelea kunifukuzia hapa mbele ya kadamnasi hebu twende ukanifukuzie PM hapa kwenye kadamnasi sijazoea
Husninyo/TF your relationship imebarikiwa ardhini na peponi,nawatakieni maisha mema yenye baraka tele,zaeni watoto mjaze dunia,though hatufahamiani kwa sura,through jf we are connected, i love you both,mmmmmwwwwwaaaaaaaaa!!!!!!!!!!nakufukuza hapa hapa ili mshenga wako bishanga aone. Lol.
Siku hizi wanaume hupata mapenzi kirahisi sana kutoka kwa wanawake kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hata ukiongea na mzee mwenzangu Bishanga atakubaliana na mimi.
Zamani enzi zetu makahaba walikuwa ni wachache sana na ilikuwa ni aibu sana kwa mwanaume kwenda kwa kahaba. Ni wale tu waliokata tamaa ndio ambao walikuwa wanakwenda kwa makahaba.
Enzi zetu sisi, mipaka na kanuni za jamii katika kushiriki mapenzi kabla ya ndoa zilikuwa ngumu sana. Mwanaume analazimika kuoa haraka kwa sababu kupata ridhiko nje ya ndoa ilikuwa ni shughuli pevu, na ndio maana wastani wa umri wa kuoa wakati huo ilikuwa ni kati ya miaka 23 mpaka 25, tofauti na siku hizi umri wa kijana kuoa umefikia miaka 30 mpaka 35. Mpaka hapo unaweza kuona ni kwa namna gani wanaume wanachelewa kuoa.
Leo hii inaonekana kama vile kila msichana ni kahaba. Hata wale watoto wanaoitwa, watoto wa geti kali, wanapatia mimba humo humo ndani ya mageti, sema tu kwamba, wengi huzichoropoa kiurahisi. Kufanya mapenzi ya utotoni hivi sasa ni kama sifa. Wataalamu wanasema kwamba, watoto wa kike wanaotoka kwenye familia zenye vurugu na tafrani hushiriki mapema tendo la ndoa.
Hebu tujiulize, je ni familia ngapi zina amani? Kwa hiyo watoto wa kike wengi huanza mapenzi utotoni na hivyo, vijana hupata asusa kwa kadiri wapendavyo, ni rahisi sana. Na ndio maana wanachelewa kuoa kwa sababu kile ambacho (kujamiiana) wanaamini ndio sababu ya wao kuoa wanakipata kwa urahisi.

Kuna msemo wao wanapenda kuutumia siku hizi: "Virginity is not a matter of dignity but lack of opportunity"
Naomba nicomment kama ifuatavyo:
Kwe RED - hiyo aibu mliyokuwa nayo enzi hizo ck hzi haipo tena, wanaume wanafanya kila jambo hadharani bila aibu wa kujali macho ya watu
kwenye GREEN: wanaume wa zamani walioa mapema kwa sababu nyingi nyingine na si kupata ngono tu, wengi waliishia madarasa ya chini sn mfano std VII hivyo miaka 25 ni mzee already, wengi walioa iliwapate wenza wa kusaidiana nao kilimo, kupata watoto mapema n.k; ck hizi wanaume na hata wanawake wanasoma muda mreeefu, wanachagua wanawake wa vigezo vingi tofauti san na zamani hivyo inawachukua muda kupata perfect match
Kwenye BLUE: si kweli kwamba wasichana tu ndio wenye tabia hizo hata wavulana wadogo sana wanaanza mapenzi ktk umri mdogo huku wakitembea na mama zao kwa umri!
kwenye purple: kuwalaumu watoto wa kike peke yao ni kuwaonea, jamii au jinsia zote zilaumiwe, hasa ikumbukwe kwamba katika suala la kufanya uasherati jinsia zote 2 hutumika sambaba hasa ukizingatia kuwa ndoa za jinsia moja ni marufuku hapa tanzania
Watafiti wanadai wanawake ni mara3 ya wanaume kwa sasa duniani sasa labda waweza kuwa wanahofia wingi wao wenyewe dhidi ya kumiliki mwanaume...wanacheza,sandakalawe,amina..atakayewahi atapata,naasume tu.
AshaDii
Double plus for this!............................nothing like a woman who isnt afraid to go after what she wants!........ in a classy way for that matter!!!
Husninyo/TF your relationship imebarikiwa ardhini na peponi,nawatakieni maisha mema yenye baraka tele,zaeni watoto mjaze dunia,though hatufahamiani kwa sura,through jf we are connected, i love you both,mmmmmwwwwwaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Uporoto WHO?....kha!!!!!!!dah! Darling wangu uporoto akisoma hapo sijui kama patalalika leo. Lol.
Sante bishanga, mi penda wewe pamoja na uchokozi wako.
AshaDii
Double plus for this!............................nothing like a woman who isnt afraid to go after what she wants!........ in a classy way for that matter!!!
Hii topic inatugusa sana, hasa ukiangalia tunavyozagaa mitaani ndiyo maana hata hauyu mzee ameamua kuja kwa kashfa yenye ukweli ndani yake.
Ebu wanawake wenzangu look into this; ujinga wetu unapokuwa counted ni pale mume wa mtu anakuja kukutongoza kwa masharti unakubali, mume wa mtu huyo huyo anakuja kwa masharti ya kukuoa wakati ana mke wake wewe mwanamke unakubali, huyu babu mshadadiaji wawanawake akituita vile anavyotaka kutuita tutakataaa?
Wanawake tuliko humu ndani nafikiri kidogo sana ni wajanja lakini bado akili zetu hazijafunguka kihivivyo. Tukija upande wa wazazii nao naona ni vihiyo tu, imagine jitu lina wake 3, linakuja kumposa mwanao unakubali hivi kweli hiyo nayo ni akili? Unakuta baba na midevu yake akishirikiana na mkewe ambaye ni mama kukubali mtu aolewe ndoa yenyewe wake wengi. Wanaume wasio na misimamo tunawaitaje? Ma B'wege! lol