kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
You were not allocated higher
education loan for 2013/14
academic year for this
reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT
BUDGET EXHAUSTED
kumbe nilitakiwa kupewa ila ela wameshagawana dah inaniuma sana....!!!
 
You were not allocated higher
education loan for 2013/14
academic year for this
reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT
BUDGET EXHAUSTED
kumbe nilitakiwa kupewa ila ela wameshagawana dah inaniuma sana....!!!

So what next!
 
hehehehe xema kuna wa2 wapo kama mashoga dah

Naungana na wewe ndg. faraji..

Kuna watu wachache humu jf, hawana ustaarabu kabisa, they're always here to post nasty notions,ilimradi tu nao waonekane....

Back to the topic....
Pole sana faraji kwa haya majanga yaliyokukuta...!!

Hivi hawa heslb wanamaanisha nini wanaposema pesa zimeeisha,alafu wanakwambia subiri nafasi za appeals zitoke...
 
Last edited by a moderator:

yani kiukweli wana2fanyia sio vizuri kabisa watu wengine ndoto zetu ndo zimeishia apa kiukweli inauma afu unaandika thread nzuri m2 anakusnich dah laiti kama mngekua mnajua m2 anajisikiaje sizani kama kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya ivo ase
 
Last edited by a moderator:
wat is dat fukn qn unaniuliza,

Samahan kama nimekukwaza mkuu.. Lakini hata mimi nimeandikiwa hvyo nilipouliza ni limaanisha nini hatma yetu! maana hawajasema kama tutapewa! Alafu una appeal nn wakati wamesema unavigezo ni hayo tu mkuu..
 
Natambua deep emotions ulizonazo kwa sasa,ndg yangu faraji, lakini hili lisikufanye useme "ndoto yako imeishia hapa"

They said "what doesn't kill you makes you stronger",and obvious nature ya mwanaume ni kupambana na mazingira/hali ngumu....
So nakushauri strive to the last drop of your haemoglobin,hope you'll vanquish this short tough situation and then you'll enjoy happy moments for the rest of your life...usije ukaacha elimu iende zake...

Jaribu kwanza kuappeal,ikishindikana do the necessary....

Wishing you all the best mkuu faraji
 
Last edited by a moderator:
Samahan kama nimekukwaza mkuu.. Lakini hata mimi nimeandikiwa hvyo nilipouliza ni limaanisha nini hatma yetu! maana hawajasema kama tutapewa! Alafu una appeal nn wakati wamesema unavigezo ni hayo tu mkuu..

usijali bro tupo pamoja ni katika harakati za kueleweshana ndugu usijali bro may be 2jaribu kuapil kiukweli
 
dah aisee bro nashukuru sana kwa ushauri wako mzur kiukweli we bro unautu sana unajua umenipa faraja sana kiukweli nimefarijika kwa kutambua feelings za watu kama sisi kiukweli a just thank you 4 da maximum bro God bles you in whatever u a duing bro
 
Last edited by a moderator:
usijali bro tupo pamoja ni katika harakati za kueleweshana ndugu usijali bro may be 2jaribu kuapil kiukweli

Its so pathetic na poleni sana...

Hivi appeal zenu ni zile za kulipia (kuna maeneo to appeal you have to pay some fee)

And if that is the case, mna-appeal nini sasa wadogo zangu wakati "Budget Exhausted"

Sijui ni majanga au ni vituko????
 
dah aisee bro nashukuru sana kwa ushauri wako mzur kiukweli we bro unautu sana unajua umenipa faraja sana kiukweli nimefarijika kwa kutambua feelings za watu kama sisi kiukweli a just thank you 4 da maximum bro God bles you in whatever u a duing bro

Umepata chuo gani + cozy gani mkuu faraji...??
 
Last edited by a moderator:
Its so pathetic na poleni sana...

Hivi appeal zenu ni zile za kulipia (kuna maeneo to appeal you have to pay some fee)

And if that is the case, mna-appeal nini sasa wadogo zangu wakati "Budget Exhausted"

Sijui ni majanga au ni vituko????

dah kiukweli ata hatujui cha kufanya bro yan ndo ivo tuendeshwa tyu sasa iv hakuna jinsi sisi watoto wa maskini afu wana2fanyia ivo dah ts really pain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…