Kumbe ndo zenu.....

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Eti kumbe 98% ya mada zinazoletwa na wadau mbalimbali kwenye hili jukwaa la MMU huwa ni za kutungwa wakuu?
 
labda JF ya siku hizi lakini JF ya zamani zile wadau walikuwa wanakuja na mikasa ya ukweli ya kimaisha kabisa. na maushauri waliyokuwa wanapata yalikuwa ya kujenga sana hata kwa wengine ikitokea mikasa hiyo ikawakuta pia.

Na huu utafiti umeufanya kwa kigezo kipi?
 
Kama umechoka, KALALE.

JF ni jamvi la wenye busara. Mbona una wasingizia wenye busara?
 
the funny thing is that unajikunja kutoa ushauri wa nguvu kwa ajili ya kutatua issue nzito iliyoletwa mezani, kumbe jamaa kaja na mtungo toka kwenye keyboard, full fiction... aaargg
 
Na wengi wanaanza na gia ya rafiki/jamaa/jirani etc. kwenye huo mkasa kumbe ni yeye mrusha thread ndo yamemsibu zamani hii kitu ilikuwa hakuna.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

We unagundua leo ?!
 

JF ya zamani ndo ipi hiyo JS?
 
Senator, za kwako unazoletaga ni za ukweli ama za kutunga?
 
Eti kumbe 98% ya mada zinazoletwa na wadau mbalimbali kwenye hili jukwaa la MMU huwa ni za kutungwa wakuu?

Mfano hii yako ni ya kweli au ya kutunga
 
njia moja wapo ya kubuy time!
Ila zaman hakukuwa hv nakiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…