Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Wewe tu na complications zako! There is something for everyone. Watu wanapiga ndoa ya mkeka, hakuna mdundiko wala nini. Na wanaishi maisha ya furaha tu. The more the mbwembwe, the worse the marriage!
bora umebaelezea baelewe!
Aliekwambia Ndoa Gharama nani? Ndoa bei Rahisi
harusi ndio Bei ghali ndoa ni sh. 22500 bomani au
15000 kanisani harusi sasa ukianza na kamati ya
vinywaji tu balaa. usishangae mtu akikwambia
anaanza kutafuta ukumbi wa harusi hata kabla
hajapata mchumba maana ukumbi kupata ni shida
kuliko mchumba hahaha kama unabisha sema
Wewe tu na complications zako! There is something for everyone. Watu wanapiga ndoa ya mkeka, hakuna mdundiko wala nini. Na wanaishi maisha ya furaha tu. The more the mbwembwe, the worse the marriage!
Harusi ni uamuzi sio lazima