Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Kuna interview Lissu aliifanya kama si Clouds Tv basi ni Global Tv kwenye hiki kipindi cha kugombea uenyekiti wa chadema Global Tv, alisema kuna kiongozi mmoja wa Dini alimpigia Simu Kumuomba Wawasamee wale wabunge 19 maarufu kama Covid 19
Kumbe kiongozi huyo ni askofu Mwamakula hii imedhilika Baada ya andiko la Askofu Mwamakula, kuelezea jinsi Hayati Rais magufuli alivyomtumia Ujumbe wa kutaka kuwashawishi Lissu na Mbowe kuwasamehe Covid 19 na kuridhia waapishwe
Yawezekana Mbowe alikubali kimyakimya ndo maana wakaapishwa? Maana lissu ameshasema kua alikataa