Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Lisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππKuna interview Lissu aliifanya kama si Clouds Tv basi ni Global Tv kwenye hiki kipindi cha kugombea uenyekiti wa chadema Global Tv, alisema kuna kiongozi mmoja wa Dini alimpigia Simu Kumuomba Wawasamee wale wabunge 19 maarufu kama Covid 19
Kumbe kiongozi huyo ni askofu Mwamakula hii imedhilika Baada ya andiko la Askofu Mwamakula, kuelezea jinsi Hayati Rais magufuli alivyomtumia Ujumbe wa kutaka kuwashawishi Lissu na Mbowe kuwasamehe Covid 19 na kuridhia waapishwe
Yawezekana Mbowe alikubali kimyakimya ndo maana wakaapishwa? Maana lissu ameshasema kua alikataa
Askofu amekana kuwa hangeweza kufanya hilo na ndiyo maana baadaye alifuatwa kwa vitisho vya kuuawaKumbe kiongozi huyo ni askofu Mwamakula hii imedhilika Baada ya andiko la Askofu Mwamakula, kuelezea jinsi Hayati Rais magufuli alivyomtumia Ujumbe wa kutaka kuwashawishi Lissu na Mbowe kuwasamehe Covid 19 na kuridhia waapishwe
Ona tahira majitu ya ccm bhana leo mnamtetea mboweLisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππ
Huyo kamanda unamuita ni jitu la CCM eti tu kwa sababu anapingana na Lissu?πOna tahira majitu ya ccm bhana leo mnamtetea mbowe
DuhγγγVoices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?Yawezekana Mbowe alikubali kimyakimya ndo maana wakaapishwa? Maana lissu ameshasema kua alikataa
Umeandika kama huna ubongoLisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππ
Kapitie hayo mahojiano utakutana na kipande nilicholielezea hapa na andiko la askofu bila shaka umeshalipitia, hakuna sehemu nimemuhukumu Mbowe ndo maana nikaweka kiulizoLisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wake[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji16][emoji1][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28]
Kwa maana hiyo Magufuli aliwatumia Viongozi wengi kutaka kuwashawishi Mbowe na lissu?Askofu amekana kuwa hangeweza kufanya hilo na ndiyo maana baadaye alifuatwa kwa vitisho vya kuuawa
Kweli we ni wa hovyo sana.Lisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππ
Duuh!Lisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππ
Nadhani baada ya kushindwa kwa Mwanakondoo alitafuta Mwanambuzi somewhere elseKwa maana hiyo Magufuli aliwatumia Viongozi wengi kutaka kuwashawishi Mbowe na lissu?
Mbowe anasema aliwaita Halima Mdee na Esther Bulaya Hotelini Nairobi Kenya Kwa mazungimzo ππππLisu amewaharibu akili, can not think.,kwanini unamhukumu Mbowe hivyo, umesikia kauli yake akikubali. Kwanini unamuamimi Lisu? Au kwa bile alipigwa risasi? Risasi ni ujeuri wakeπππππππ€£π€£ππππππ€£πππππππ